Friday, May 4, 2018

KILIMO BORA CHA NDIZI

Ndizi ni tunda muhimu Afrika ya Mashariki na katika nchi za joto kwa jumla hasa visiwa vya caribian. Mmea wake huitwa mgomba. Kibiolojia ndizi moja ni fuu inakua pamoja na fuu nyingine kwenye mshikano au shazi.

Ndizi zapatikana kwa aina nyingi na wataalamu huhesabu takriban 100. Kwa matumizi ya kibinadamu aina zifuatazo zatofautishwa kufuatana na matumizi:
Ndizi za kuiva zaliwa kama matunda
Ndizi za kupikia zapikwa kama viazi au muhogo
Ndizi za uzi yaani magomba hutumiwa kama uzi za kutengezea vitambaa
Ndizi za pori siziso na matunda wala matumizi mengine ya chakula

Makabila mengi katika Afrika Mashariki yanaitegemea kama chakula kikuu. Katika kilimo ndizi inatumiwa pia kama lishe ya mifugo na mti wa kivuli katika kilimo cha kahawa. Ndizi
UtanguliziEdit

Ndizi tunda la moja ya mimea ya jenasi ya Musa, ambayo huitwa migomba. Asili yke ni maeneo ya Kusini mwa Asia, na inawezekana kwa mara ya kwanza ilikuzwa huko Papua New Guinea. Leo, ndizi hulimwa maeneo mengi ya tropiki.

Ndizi zipo katika familia ya Musaceae. Hulimwa hasa kwaajili ya matunda yake, na mara kadhaa kwaajili ya uzalishaji wa nyuzi na kama mimea ya mapambo. Sababu tu mimea ya ndizi, migomba, huwa mirefu na migumu kiasi, huonwa kama ni miti ya kweli, wakati ukweli ni kwamba; kutokana na muundo wa sehemu zake za ndani ya shina migomba si miti ya kweli. Mimea mingi ya aina hii, kitaalamu pseudostem, huweza hata kufikia urefu wa mita 2 – 8, na majani yake hata mpaka urefu wa mita 3.5. na ikikomaa, migomba hutoa mikungu ya ndizi zenye rangi ya kijani ambazo zikiiva hubadilika na kuwa na rangi ya manjano au wakatimwingine hata rangi nyekundu. Kasha kutoa matunda, mgomba hufa na nafasi yak e hu;chukuliwa na mgomba mwingine.

Ndizi hukua kwenye mrindikano mdogo, ujulikanao kama kichana, na kila kichana huwa na ndizi kama 20 hivi huku mkungu mmoja ukuweza kuchukua vichana 3 – 20 kwa wastani. Mkungu unaweza kufkia uzito wa kilo 30 – 50. Ndizi moja kwa wastani huwa na uzito wa gramu 125, ambayo kwa makadirio huwa na maji 75% na mada kavu 25%. Kila ndizi huwa na ganda yenye sehemu laini iliwayo ndani yake. Tena sehemu hiyo ya ndani na maganda huweza kuliwa katika hali ya ubichi au kasha kuiva. Kwa taratibu nyingi za Magharibi, sehemu ya ndani ikiwa mbichi ndiyo hupendelewa kupikwa na kuliwa, huku huko Asia ndizi na maganda yake hupikwa na kuliwa. Tunda la ndizi huwa na nyuzi nyuzi ndani yake, ambazo huwa hasa katikati ya ganda na sehemu laini ya ndani. Sehemu ya laini ya ndani ka kw=awaid ahugawanyika kwa urahisi kuanzia juu mpaka chini, kwenye sehemu tatu. Ndizi ni chanzo kizuri cha vitamini B6, vitamini C na potasiamu.

[1] ndizi aina ya Cavendish ndio hulimwa kwa wingi.

Ndizi hulimwa katika zaidi ya nchi 107 duniani. katika nchi nyingi, ndizi humaanisha zile laini na tamu ambazo huliwa kama matunda baada yam lo. Lakini pia ndizi zawezwa kukatwa na kukaushwa na kuliawa kama vile chipsi. Ndizi zilizokaushwa pia zaweza kusagwa na kupata unga wa ndizi. Ingawa baadhi ya aina ya migomba ya mwituni huwa na ndizi zenye mbegu kubwa na ngumu, ndizi zinazoliwa kwa kawaida huwa hazina mbegu. Kwa kawaida ndizi zote aidha hutumiwa zikiwa zimeiva, za njano na laini au zikiwa mbichi yaani, za kijani na ngumu kiasi. Kwa wasatani ndizi zinazouzwa biashara kimataifa ni asilimia 10 – 15 tu, huku Marekani na Uingereza wakiwa wanunuzi wakuu. Maubmile. 1.png mmea wa ndizi.

Kitaalamu ndizi huwekwa kwenye jenasi ya Musa katika familia ya Musaceae, kwenye oda ya Zingibrales.

Mmea wake usio mt kamili, huwa na urefu wa mita 6 – 7.6. majani yake hukua kuzunguka mmea na hufukia urefu wa mita 2.7 kwa urefu na sentimita 60 kwa upana. Mgomba ndiyo mmea mkubwa zaidi kuliko mimea mingine ya jamii yake. Majani yake huwa makubwa sana na huchanwa kwa urahisi sana na upepo.

Ua moja la kiume huzalishwa na kila mgomba, japo aina nyingine huweza hata kuzalisha matano ya aina hiyo mfano huko Ufilipino. Maua ya kike huzalishwa juu kabisa mwa shina na baadae hukua na kuwa tunda bila hata ya kurutubishwa. Na katika aina nyingi mbegu zimekuwa dhaifu na haziwezi tena kuzalisha mmea mwingine.

VirutubishoEdit

Matumizi mengineEdit

Ndizi kavu au zilizokaangwa baada ya kuiva huweza kuliwa kama chakula cha kutafuna. Tofauti na matunda mengine, ni vigumu kuandaa sharubati ya ndizi, na mara nyingi zinapopondwa huishia kuwa ujiuji tu.

Hata hivyo, ndizi zinabakia kuwa miongoni mwa matund matamu sana.
Maua ya ndizi baada ya kuchanua
Maua ya ndizi katika maeneo mengi yamekuwa yakitumika kama mapambo huku na wakati mweingine huliwa yakiwa mabichi au baada ya kupikwa. Shina la mgomba kwa jamii za watu hasa wa huko Asia, hupikwa na kuliwa. Maji maji yanayopatikana kisha hapo hutumika pia kutibu magonjwa ya figo na moyo.

Majani ya migomba hutumika kama sahani au vyommbo vya kuwekea chakula hasa kwa jamii tamaduni za kale na wakati wa kula vyakula vya asili. Licha ya kuhifadhi tu chakula, huambukiza ladha moja nzuri kwenye chakula.

Contact/ Wasiliana nasi
Phone (Simu): +255766797400 Email: daudilyela@yahoo.com

Our Services ( Huduma zetu): Research( Utafiti), Project Proposal ( Mapendekezo ya Miradi), Business Plan ( Plani za Biashara), Profit Assessment ( Upimaji wa Faida),

KILIMO BORA CHA KOROSHO

UTANGULIZI
koroshoo ni zao ambalo chimbuko lake ni Portuguese na baadae 16 century ndipo lilipo fika africa katika nchi ya mozamboque na baadae likafika Kenya na Tanzania.
kwa hapa Tanzania korosho ulimwa na kustawi vizuri katika mikoa ya kusini Mtwara, lindi, na maeneo kama Mafia, bagamoyo na Rufiji. Zao hilo limefanyiwa utafiti na kubainika kuwa linaweza kulimwa katika mikoa kama Dodoma, Singida, Ruvuma, Tanga, Kigoma,

mvua; korosho ustawi vizuri kwenye maeneo yenye mvua 840mm – 1250 mm wastani wa mvua kwa mwaka,
napia hukua vizuri kwenye maeneo 0- 500 m kutoka usawa wa bahari.

udongo; korosho ukua vizuri kwenye maeneo yenye PH 5.6 udongo wa kichanga (sandy) na pia udongo mfinyazi kichanga.

KUANDAA SHAMBA
kama mazao mengine shamba la korosho linatakiwa kusafishwa, kusawazishwa nakutifuliwa vizuri kwaajili ya kupanda korosho.
nakatika mashimo utakayo chimba unaweza kuweka mbolea ya ngombe ukachanganya na udongo mapema ili kuongeza rutuba. KUPANDA
Ni muhimu sana kuchagua mbegu bora kwa kua mbegu utakayo panda ndo itakuonesha kiasi gani utavuna,

baada ya kununua mbegu unachukua maji na chumvi 100g ya chumvi unaweka katika maji kiasi cha lita 5 unakoroga vizuri na unachukua mbegu zako unaweka kwenye maji hayo zile zitakazo zama ndio mbegu zenye uwezekano mkubwa wa kiota,

baada ya hapo unazianika vizuri hili ziweze kukauka
napia unashauriwa kuto panda mbegu zenye umri zaidi ya mwaka mmoja,
nafasi ya kupanda 12m x 6m kwenye maeneo mvua na kiasi cha miti kitakua 139/hectare
kwenye maeneo yasio na mvua za kutosha ni 12m x 12m na kiasi cha miti ni 69/ hectare

MUHIMU
Kuna aina mbili ya kupanda mbegu ya korosho
kupanda moja kwa moja; hii ni njia mambayo ni risk sana na inaitaji umakini kwa sababu kunauweze3kano mkubwa wa mbegu kufa. ukitumia njia hii unatakiwa kupanda mbegu tatu 3 katika shimo moja na baada ya miezi mi 3 – 4 ngoa mimea na bakiza mmoja wenye afya na muonekano mzuri.
njia ya kitaru; hii ni njia ya pili na ni nzuri kwa sababu unakua huru kuchagua mche ambao umestawi na ulio na muonnekano mzuri , unatakiwa kuamishia miche shambani ikiwa na umri wa wiki 6 na zingatia kuchagua mche wenye afya.

na baadae unatakiwa kupunguza majani urefu wa sm60- 90 kutoka kwenye ardhi na pia ondoa majani yote ambayo yanaonekana kuadhiliwa na magonjwa au wadudu na yale yalio kauka.

MAGONJWA NA WADUDU

MAGONJWA
Anthracnose
powdery mildew

hayo ni magonjwa yanayo athiri thana korosho

WADUDU
Cashew stem girdler
cashew weevil
coconut bug
heliotropes bug
meal bug
trips aphids

KUZUIA NA TIBA
ili kuzuia maagonjwa na wadudu unatakiwa
palilia mapema
weka shamba katika hali ya usafi
tumia mbinu ya kuchanganya mazao kwa korosho unaweza kuchanya pamba au maharage hiyo inasaidia kukimbiza wadudu wengine ambao wanakua hawapatani na mazao hayo
tumia pesticide kutibu magonjwa
tumia insecticide kuuwa wadudu waalibifu.

KUVUNA
Korosho ufikia hatua ya kuzaa matunda pale inapo kua na umri wa miaka 2 1/2 hadi miaka mitatu
napia matunda ukomaa pale inapo kua na miaka 9 hadi 10
uwezekano wa mkoroso kuishi ni miaka 30 hadi 40
na kuvuna hua kunaanza mwezi october hadi mwezi december

MATUMIZI
chakula
hutumika kutengeneza rangi
kama zao la biashara
miti yake hutumkia kama kuni
kutengeneza dawa e.t.c

KILIMO BORA CHA ILIKI

UTANGULIZI
Iliki ni moja kati ya mazao ambayo yanatumika sana karibia kila siku kwenye matumizi ya nyumbani,utumika kama viungo kwenye chakula na pia utumika kama tiba ya magonjwa mbalimbali.na pia ni mmea mfupi ambao unatoa matunda kwa miaka mingi.

AINA ZA ILIKI
Kuna aina mbili za iliki ambazo ni

malabar-huzaa kwa kutambaa ardhini na matunda yake ni madogo madogo.urefu wa mmea wa malabar ni karibia mita 3
mysore-matunda yake huzaliwa kwa wima,majani mapana na mmea una urefu zaidi ya mita3

MAZINGIRA NA HALI YA HEWA

Huoteshwa kwenye maeneo yenye mvua 2500mm kwa mwaka
kivuli cha wastani
udongo wenye rutuba ya kutosha na ulio na unyevunyevu wa kutosha

KUPANDA
kunanjia mbili za kuotesha iliki unaweza kupanda mbegu au ukapanda miche midogo(spilits)
sia mbegu kwenye kitalu pandikiza mche shambani zikiwa na umri wa miezi 3-4 au zaidizenye ukubwa wa sm 15 au zaidi au tenganisha vimiche vinavyo zaliwa kwenye tunguu moja chini ya ardhi na pandikiza shambani.
tengeneza mashimo sm 60 x 60 na nafasi ya shimo panda miche kwenye mashimo.

KUTUNZA
Weka matandazo
ondoa mashina ya zamani na yalio nyauka
rekebisha kivuli

WADUDU NA MAGONJWA

Zuia wadudu waalibifu na magonjwa ili kupata mavuno mengi nayenye ubora
kuoza kwa majani-dhibiti kwa kupiga dawa zenye morututu k.m dithane m-45
virus(mosaic virus)- dhibiti kwa kutumia aina inayo vumilia
inzi mafuta zuia kwa kutumia dawa za kuuwa wadudu insecticides

KUVUNA
Huchukua miaka 3 tangia kupandwa mpaka kuzaa na kuvuna pale unapopanda miche midogo
ukipanda mbegu huchukua miaka 4-5 mpaka kuvuna
matunda huvunwa hasa mwezi march na april
matundwa huvunwa na kukaushwa kwenye jua

na kipanda kunauwezekana wa kuvuna 112-300 kwa heka na 45-120kg kwa eka ikiwa imekaushwa
Contact/ Wasiliana nasi
Phone (Simu): +255766797400 Email: daudilyela@yahoo.com

Our Services ( Huduma zetu): Research( Utafiti), Project Proposal ( Mapendekezo ya Miradi), Business Plan ( Plani za Biashara), Profit Assessment ( Upimaji wa Faida),

KILIMO BORA CHA BINZARI

Utangulizi
Jina la kitalaam ni Curcuma domestica au Curcuma longa na kwa kiingereza ni turmeric. Zao hili asili yake ni Mashariki ya Mbali, na linalimwa zaidi katika mkoa wa Tanga, Kagera, Kilimanjaro, Morogoro na Zanzibar. Binzari hutumika kwa mapishi ya nyama, samaki na mapishi mengine kwa kuweka rangi yake ya njano. Hutumika zaidi na nchi za mashariki kama India; nchi za Ulaya hutumia kidogo sana.
Mahitaji na mambo muhimu katika uzalishaji
Hali ya hewa

Humea vizuri maeneo yenye kiasi cha joto la nyuzi 24-26 za sentigredi na huzalishwa maeneo ya mwambao.
Udongo

Udongo wenye rutuba na unaopitisha maji na usio na mawe au changarawe. Mahitaji ya mvua ni milimita 1200-2000 kwa mwaka. Epuka kusimama kwa maji shambani. Umwagiliaji unaweza kufanywa endapo maji hayatoshelezi. Binzari inafanya vizuri ikipandwa sehemu ya uwazi. Ingawa pia inaweza kuchanganywa na mazao mengine kama minazi.
Uchaguzi wa mbegu

Mbegu zinazotumika hapa nchini ni za kienyeji bado. Tunguu kubwa zenye ukubwa wa sm 2.5 hadi sm 3 hutumika kama mbegu. Kiasi cha tani 1.7 za vipando huhitajika kwa hekta. Tunguu za kupandwa zisihifadhiwe kwa zaidi ya mwezi mmoja kabla ya kupanda.

Soma Aina mpya za mbegu za mazao
Nafasi ya upandaji

Nafasi ya kupanda ni sm 15-25 kati ya mmea na mmea na sm 25-30 kati ya mstari na mstari au sm 45-60 kati ya tuta na tuta.
Mahitaji ya mbolea

Matumizi ya mbolea hapa Tanzania si makubwa katika kilimo cha viungo. Tafiti zimeonesha kuwa binzari hazioneshi kufanya vizuri kwenye mbolea za viwandani. Mbolea za samadi zinaweza kutumika. Kiasi cha tani mbili hadi tatu za samadi kwa eka moja kinatosha.

Soma mahitaji ya mbolea katika kilimo cha mahindi

Shamba la binzari

Uvunaji

Uvunaji hufanywa kwa kutumia majembe au uma. Binzari huvunwa wakati majani yamegeuka rangi na kuwa njano au kahawia. Binzari isiyo na kambamba huvunwa kipindi cha miezi sita toka kupandwa na miezi 18 hadi 21 kwa binzari iliyokomaa kutegemeana na mahitaji ya soko.
Mavuno ya tani 7 hupatikana endapo binzari ikipandwa peke yake. Mavuno hupungua kiasi binzari ikipandwa mchanganyiko na mazao mengine kwa mfano mavuno ya tani 4.8 kwa hekta yatapatikana binzari ikipandwa na minazi.

Utayarishaji

Kabla ya kuhifadhiwa binzari zichemshwe kwa dakika 45 hadi saa moja ili kuondoa harufu yake ya udongo. Pia kuchemsha kunasaidia zikauke kwa pamoja. Binzari zichemshwe mpaka kijiti kisicho na ncha kali kiweze kutoboa kwa urahisi. Kisha ziepuliwe na kuanikwa juani kawaida huchukua siku 10 hadi 15 ili zikauke kufikia kiasi cha unyevu (moisture content) 5% hadi 10%. Binzari pia yaweza katwa vipande vidogo vidogo ili kurahisisha kukauka. Baada ya hapo ziko tayari kutwangwa au kusagwa kwenye mashine za kusagia viungo au kuhifadhiwa kama zilivyo.
Mashambulizi ya wadudu na magonjwa

Tatizo kubwa ni ugonjwa wa ukungu unaosababishwa na vimelea vinavyoitwa Colletotrichum sp. na Glomerella cingulata. Dalili ni madoa ya kahawia kwenye majani ambayo husambaa na kisha jani hukauka. Magonjwa haya yanaweza kudhibitiwa kwa kupiga dawa za ukungu kama Dithane M-45 kila baada ya wiki mbili.
Masoko

Soko la binzari linapatikana ndani na nje ya nchi.. Zao hili huuzwa katika nchi za Uganda, Kenya, Uingereza, Ujerumani, Mashariki ya Kati, n.k. Binzari yaweza kuuzwa ikiwa mbichi (mara tu baada ya kuvuna), ikiwa kavu au baada ya kusagwa kulingana na mahitaji ya soko.

Ushauri: Wakulima wanashauriwa kukausha binzari kwa uangalifu ili kutoharibu ubora wake.
Contact/ Wasiliana nasi
Phone (Simu): +255766797400 Email: daudilyela@yahoo.com

Our Services ( Huduma zetu): Research( Utafiti), Project Proposal ( Mapendekezo ya Miradi), Business Plan ( Plani za Biashara), Profit Assessment ( Upimaji wa Faida),

KILIMO BORA CHA MACHUNGWA

UTANGULIZI.

Mchungwa ni jamii ya mlimao, lakin hustawi zaidi ukandawa pwani wenye joto kiasi, mvua zaidi na udongo wenye rutuba. Hapa Tanzania mikoa kama Pwani, Dar es salaam, Tanga, Mtwara, Lindi, na Morogoro ni maarufu kwa kilimo hiki. Pia tunda la mchungwa huliwa na binadamu ili kuongeza vitamini mwilini.

Hali ya hewa.

Michungwa huweza kukuzwamaeneo yenye joto na hata yale yenye baridi. Kama ilivyo kwa matunda mengineya citrus, ili kupata mazao mazuri haina budi kukuza michungwa katika joto la nyuz ijoto 15.5c – 29c.

Kuandaa mbegu.

Mchungwa kwa kuanzia unakusanya mbegu za mlimao kutoka katika malimao yaliyokomaa na ikiwezekana yawe yameiva yakiwa mtini, kausha mbegu zake na kasha unaweza kutolea ganda la nje ili ziweze kuota vizuri.

Kuandaa kitalu.

Tengeneza kitalu chako vizuri kwa kutumia jembe, kisha changanya na mbolea za mboji au samadi baada ya kukauka vema mwaga mbegu zako na uzifukie kwa udongo kiasi cha nusu sentimita, kasha mwagia maji kila siku na baada ya wiki 3 – 6 mbegu zitaanza kichipua, baada ya miche kufikia kiasi cha sentimita 3 – 5, miche ihamishwe kwenye pakiti zenye udongo (viriba) wenye mbolea ya kutosha na viwekwe kwenye kivuli kiasi.

Kuunga miche.

Miche ikifikia urefu wastani wa sentimita 30 – 45 huungwa ili kupata michungwa. Kwa michungwa kuna aina mbili kuu hapa Tanzania ambazo ni Jaffer na Valencia. Jaffer ni rahisi kuunga sababu vikonyo vyake ni vikubwa na viko wazi kwenye miti, miti yake ni mikubwa na inazaa sanalakini huathirika sana jua likiwa kali na matunda yake huanguka, pia machungwa yake hukua kwa haraka sana ilasoko likiwa baya huishia shambani kwa kuanguka. Vlencia ni miti ya wastani , vikonyo havipo wazi kwa hiyo huwapa kazi waungaji (hawaipendi) ina uzao wa wastani na inakaribia ukame na matunda yake hayaivi haraka.

Upandaji.

Baada ya uungaji kukubali unaweza kuandaa shamba lako kwa kuchimba mashimo, kuweka mbolea na kusubiri msimu wa mvua, miche ipandwe mara tu baada ya mvua za kwanza kunyesha, umbali wa kupanda ni mita 8 * 8 kwa Jaffer na mita 5 * 8 kwa Valencia.

Palizi na matumizi ya mbolea.

Palizi ifanyike si chini ya mara 2 – 4 kwa mwaka na miche ikifikisha miaka 3 unaweza ukasafishia miaka mitatu unaweza ukasafishia visahani na kufyeka sehemu nyingine. Kwenye mbolea weka samadi iliyoiva debe moja hadi mbili kwa shimo, changanya mbolea na udongo wa kwanza kutoka shimoni, iwapo itatumika mbolea ya viwandani kama DAP, TSP, NPK na Mijingu Phosphate changanya mbolea hiyo na udongo wa juu wenye mboji (top soil).

Uzao.

Kuanzia miaka mitatu miche itaanza kutoa maua na kuzaa na huchanganya kuzaa baada yamiaka mitano, miche huendelea kuzaa hadi kufikia miaka mitano 25 – 30 tangu kupandwa.

Magonjwa na wadudu katika michungwa.

Magonjwa.

1.Vidonda katika shina.

Huletwa na aina fulani ya ukungu. Dalili za ugonjwa huu nikutokea sehemu ya shina ambayo hubadilika rangi.

Dalili; Huongezeka ukubwa na baadae kutoa utomvu.

Kudhibitisha; Hutokea sana sehemu iliyo na udongo ambao huatamisha maji.
Ugonjwa wa kukauka miti.

Husababishwa na virusi ambavyo husambazwa na chawa weusi.

Dalili; Sehemu ya shina hunyauka na ndani yake hutokea mipasuko pasuko,kasha mmea hudhoofika polepole na kutoa matunda madogo madogo, na majani hubadilika ghafla na kuwa ya njano.

3.Ugonjwa wa kutobadilika rangi kwa machungwa yanapokomaa.

Hutokea hasa kwenye sehemu za miinuko ya kati na kusambazwa na vidudu viitwavyo psyllids, na vile vile kwa kuchukua vikonyo na kubebeshea kutoka kwenye miti inayoonyesha dalili za ugonjwa.

Dalili; Hutokea mabaka ya njano kwenye majani, pia matunda huwa ya ukali nay a njano sana.

KUZUIA:

Sehemu ambazo ugonjwa unaweza kutokea angalia wadudu kama chawa. Hakikisha wadudu hawa hawashambulii miche kwenye kitalu. Wakiwepo, majani huonyesha kujikunja kwa kuweka mafundo sehemu ya juu. Vilevile epuka kuchukua vikonyo kutoka kwenye miti yenye dalili za ugonjwa huu.

WADUDU:

1.Nzi weupe (white fly).

Hawa ni wadudu ambao hukaa kwenye majani ya mimea wakizaliana na kufyonza virutubisho vya mmea, na hii husababisha mmea kudumaa na kutoa mazao duni.

Kuzuia:

Njia ya kiusalama zaidi ni kwa kupandisha shambani wadudu aina ya Cales noacki ambao huwala hawa nzi weupe na kuzuia kusambaa kwao.

2.Wadudu mafuta (aphids).

Hawa ni wadudu weusi ambao hukaa kwenye majani ya mimea wakizaliana na kufyonza virutubisho vya mmea, nah ii pia husababisha mmea kudumaa na kutoa mazao duni.

Kuzuia:

Tumia kiuwa wadudu (insectside).

Kuvuna

Mchungwa huwa tayari kuvunwa miezi 3 – 4 baada ya kupandwa. Kuvuna ni kwa njia ya mikono au kwa kutumia kikapu cha kuvunia.

Hifadhi

Machungwa huhifadhiwa kwenye ghala safi lenye kuruhusu hewa. Ghala lijengwe nje ili kuruhusu hewa safi ili yasioze.

Soko

Soko la ndani na nje ya nchi lipo. Kiasi kikubwa cha machungwa hutumika hapa nchini, pia huuzwa nchi za jirani. Bei ya chungwa ni shilling 200 – 300 kwa kila moja na hadi 500 hufikia kulingana na aina ya msimu.
Contact/ Wasiliana nasi
Phone (Simu): +255766797400 Email: daudilyela@yahoo.com

Our Services ( Huduma zetu): Research( Utafiti), Project Proposal ( Mapendekezo ya Miradi), Business Plan ( Plani za Biashara), Profit Assessment ( Upimaji wa Faida),

KILIMO BORA CHA ZABIBU

UTANGULIZI

Zabibu ni tunda la mzabibu (Vitis Vinifela) Kama una muda kurekebisha, kwa bidii ili kujikwamua yao, lakini kama unataka kweli mahiri na matajiri maua mizabibu ni tamu na ladha ya matunda, kuhakikisha huduma yake sahihi.

Kutosha lishe na kudhibiti mavuno huongezeka nafasi kwa ajili ya mavuno ya zabibu tajiri.

Mahitaji kwa ajili ya kupanda Mzabibu vyema katika kamili doa jua, jua katika bustani na joto joto kutoa mazingira bora kwa ajili ya maendeleo ya mimea hii.

Vines anapenda kukua, hivyo itabidi haja angalau 1.8 m Nafasi kati ya mimea. Mitaro hivyo kirefu na shimo pana, mizizi kuwa na nafasi ya kutosha.

Kujitanua mizizi kufunikwa na udongo neema ya maendeleo ya mizabibu nguvu na afya. Chini ya mwamba wa kuweka mifereji ya maji, anapendelea divai pamoja na mbolea udongo.

Kumwagilia Kila siku ya kumwagilia mizabibu vijana kuwapatia unyevu muhimu katika hatua ya kwanza ya maisha. Wazee mimea haja ya maji mara chache tu kwa wiki, ila kwa ajili ya siku za joto kali na kavu.

Wakati joto kuongezeka, kuendelea kumwagilia kila siku. kiasi kikubwa cha maji anaendelea unyevu mizizi na imara, na zabibu huleta wanene na Juicy.

Mbolea Divai mpya inahitaji mbolea matajiri katika nitrojeni, kutumika wiki mbili baada ya kupanda. Mimea kukomaa kuhitaji chini mbolea.

Sana mbolea kwa mimea kukomaa unaweza kusababisha ukuaji wa kijani, lakini pamoja na matunda kidogo.

Kama kipimo inaonyesha upungufu wa udongo potassium na phosphorus, kufanya juu ya hii sehemu. Kuepuka mbolea zenye madawa ya kuulia wadudu, kwa sababu wao kusababisha uharibifu wa mimea na unaweza kusababisha kuchelewa kubalehe na uzalishaji maskini matunda kwa miaka kipindi cha tatu.

Props Winemaking, wakati unaweza kukua mwitu, lakini huongeza uzalishaji wa kuweka matunda na hufanya kupanda na afya njema. ra

hisi wawili wa mita pole na kutoa msaada wake na sura taka. Nyingine inawezekana msaada kwa ajili ya uzio, fito waya, na gazebos.

Wakati mizabibu kungata yao, hukua katika mwelekeo sahihi na kuwa na matunda mbali kutoka ardhi.

Tohara Vines kukua vizuri katika mwaka wa kwanza wa maisha, bila ya tohara, lakini inakuwa muhimu katika mwaka wa pili.

Trimming mzabibu matawi dhaifu huzaa matunda zaidi. Baridi kupogoa unasababisha mazao profuse ya zabibu katika spring wakati dunia huanza kwa joto. Kupogoa nguvu huongeza uzalishaji wa matunda.

Ulinzi Fungicides kulinda mimea kutokana na fungi.

Gridi ya kuwekwa juu ya mizabibu kulinda matunda ya uharibifu au uharibifu jumla ya ndege. Kuondoa majani kuanguka hupunguza hatari ya wadudu na kuoza kwa mizizi.
Contact/ Wasiliana nasi
Phone (Simu): +255766797400 Email: daudilyela@yahoo.com

Our Services ( Huduma zetu): Research( Utafiti), Project Proposal ( Mapendekezo ya Miradi), Business Plan ( Plani za Biashara), Profit Assessment ( Upimaji wa Faida),

KILIMO BORA CHA NDIZI

Ndizi ni tunda muhimu Afrika ya Mashariki na katika nchi za joto kwa jumla hasa visiwa vya caribian. Mmea wake huitwa mgomba. Kibiolojia n...